Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 314
- 376
Habari wakuu?
Poleni na majukumu ya hapa na pale pia hongereni kwa kupambana. Kutokana na kichwa cha habali hapo juu, Ndugu zanguni, wakuu naombeni yeyote ambaye ana connection au anazijua connection za kupata mishe/ kuzamia nje yani nchi za ULAYA, USA na CANADA naombeni msaada wenu.ili niende nikapambane kule nikatafute life.
Nimeandika sana Uzi hum ndani lkn bado sijafanikiwa ingawa sikati tamaa najua IPO siku. Hivyo hata akitokea mtu akanisaidia tukaingia mkataba hata nimlipe Mara 3 ya msaada wake ikiwa atanisaidia kufika huko nikapata mishe. Nimejikana nahitaji kutimiza ndoto hii mwenye connection naomba anisaidie na miaka 24 now.
Asanteni sana