Natamani kuchunwa.

Nenda vingunguti, utachunwa uchunike.
 
Nimeuza dhahabu na sasa natembea na begi la Pesa. Maana account za bank nishaweka pesa za kutosha kula mpaka wajukuu zangu.

ingekuwa enzi za zombe ungekuwa ushauwawa mabwepande
 
ingekuwa enzi za zombe ungekuwa ushauwawa mabwepande

Sio kirahisi maana baada ya kutengeneza hizi Pesa jambo la kwanza nimenunu bastola hivyo ningewafyeka wote niwe na kesi ya mauaji alafu nikimbie nchi maana pesa inaruhusu.
 
Hao wanachuna wanyama sio mnyama aina ya mwanadamu
 
Swala la pesa sio tatizo aliyetayari aseme wapi na saa ngapi tuonane kama mbali nakodi helicopter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…