Natamani ku-root simu yangu tecno p5

Kashi

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
897
Reaction score
748
Wadau wa teknolojia mimi ni mtumiaji mpya wa android phones nina mwezi mmoja tangu ninunue simu hii.Napenda kufahamu machache juu ya rooting kama:
1.Faida zake.
2.Hasara zake.
3.Apps nzuri za rooting kwa simu ya aina hii.

Nitashukuru Sana kwa michango yenu.Naombeni mnivumilie kama nitakuwa nimerudia mada iliyokwisha jadiliwa humu.
 

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-an-african-woman-not-bearing-children-3.html

Mwisho wa hiyo thread nimetaja apps potential na multipurpose za ku-root any android gadget
 
Fungua hii thread aliyokuwekea Android Phone without ROOT ACESS is like an
African woman not bearing children
ndio upate habari unayotaka.
 
Poa kaka ngoja nipitie hiko.Hizi ziko safe? Maana nimesikia zingine zinaua simu kabisa.

Hizo nilizotoa zinabagua simu hivo yako jaribu uone lkn we anza na FRAMAROOT
Hizi hazina madhara yoyote na ni rahisi kutumia
 
Hizo nilizotoa zinabagua simu hivo yako jaribu uone lkn we anza na FRAMAROOT
Hizi hazina madhara yoyote na ni rahisi kutumia

Nashukuru sana mkuu,nimechoka kuwa "guest user" kwenye simu yangu mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…