Natamani kila mtu aisome namba!

Hapo akibaki msomeshaji namba pekee kwamba yeye ndo hasomi HATAKUWA SALAMA... maana kama hata walinzi wake wataisoma unategemea nini..???

Namba tutaisoma akina siye tu na nyie mnaomshabikia... MAHABA YAMEWATIA UPOFU HADI HAMUONI ANAKOSEA WAPI... YAANI MNAMSIFIA KWA KILA KITU, I MEAN EVERY THING HE DOES, NAMAANISHA MNAMISIFIA HATA KWA ANAPOKOSEA...

KUNA SIKU ATAOMBA MSAMAHA HALAFU MTAMSIFIA TENA KWA KILE ALICHOKOSEA MWANZO AMBACHO MLIMSIFIA PIA...
 
Sisi wakulima wa mbaaz tayar tumeisoma namba
 
Sisi wakulima wa mbaaz tayar tumeisoma namba
Na bado! Natamani wakulima wote kabisa waisome namba! Wanaume kwa wanawake waisome namba, wanaomsifia na kumpaka mafuta kwa mgongo Wa chupa waisome namba, Ccm waisome namba na tarakimu zote! Ndio ikifika 2020 tukiwaambia jambo watatuelewa. Tuliwaambia huyu hajawahi hata kuwa mwenyekiti Wa tawi Nazi hii kubwa haiwezi mkatubishia.
 
Itakua ww umeolewa tuulize sisi wanaume tunaotafuta mtaani.Usione bwana ako anarudi na unga robo pengine huwa tunakopa msije kutusaliti.
Yaani natamani kila mtu aisome namba.Maisha yawe magumu kama ilivyo pata kutokea Mwaka 1983 hadi 1985! Viongizi Wa dini waisome namba mpaka wachanganyikiwe ndio wataacha unafiki.
 
Punguwani wengine bhana n chanzo cha nchi kuwa masikini.Haya tuambie nani kakwambia mfumo wa nchi umebadilika? Mambo ya kukaa kisikiliza watu wanapiga umbea na kutuletea humu ikome.
 
Yaani natamani kila mtu aisome namba.Maisha yawe magumu kama ilivyo pata kutokea Mwaka 1983 hadi 1985! Viongizi Wa dini waisome namba mpaka wachanganyikiwe ndio wataacha unafiki.
Namba isome wewe na familia yako, mpaka unyooke maaaaaabake!! 2025 ukifika na afya yako basi ubarikiwe, watu kama nyie lazima muisome namba barabaraaaaa!!
 
Daaa kweli we maamumaaaaaaaa
 
Noted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…