Freeland achana na mambo ya wakwepa kodi ya akina Dj na Mamvi, twende kwenye hii issue ya kizushi, swali langu je JF itafungiwakodi gani? wewe umemlipa mwenye nyumba wako kodi yake ? au umelipiwa?
Freeland achana na mambo ya wakwepa kodi ya akina Dj na Mamvi, twende kwenye hii issue ya kizushi, swali langu je JF itafungiwa
Ofisi ya Makamu wa Rais yakanusha mama Samia Suluhu kujiuzulu umakamu wa Rais
HahusikiUmemsahau anthon dialo.
Wewe ndiyo wale mashetani mliotaka kutuingiza kingi ya kuchagua mfuasi wa shetani freemasoniMkuu umeshabebeshwa mfyatuo...kwa maana umetii agizo la mkuu wako la kufyatua? right now ungepaswa kuwa unalea pregnancy dada...unafanya nini huku jf?
Wewe ndiyo wale mashetani mliotaka kutuingiza kingi ya kuchagua mfuasi wa shetani freemasoni
Wakala wa shetani ni mamvi na Dj na wewe mnaokataa kulipa kodi. Ni nyie mnaoshinikiza na kuhonga hela watu waandamane ili wafeMkuu wako amesema anataka watu waishi kama mashetani
hilo tu hulioni kuwa yeye ni Proven "WAKALA WA SHETANI"?
Pia hujasema ...ushabebeshwa mfyatuo?
Aisee kila gari lina status yake ya uendeshaji,yaani kama umepauka kuendesha subaru ni kujichora ni sawa na kuvaa suti alaf upande boda bodaHapana usifugie kuku, weka uwe unatoka nayo mara moja kwa wiki, ijumaa kama muumini wa ijumaa, ama jumamosi, ama jumapili, kwenda nayo kwenye nyumba za ibada tu, yale mafuta ya vibaba yatakuhusu lkn.
Wakala wa shetani ni mamvi na Dj na wewe mnaokataa kulipa kodi. Ni nyie mnaoshinikiza na kuhonga hela watu waandamane ili wafe
Magufuli mpaka 2025 na atutafutie mtu mbabe kama yeye nchi za kiafrika kuongozwa kama unavyotaka subiri baada ya sherehe za miaka 100 ya Uhuru wa Tanganyika I hope its 2061Habari wanajamvi!
Naam, Tunako elekea sasa kisiasa na kiuchumi ndiko hasa niliko kuwa naomba tufike! Ngoma kaipata kenge maji yote timbwitimbwili.Na bado.
Natamani kila mtu aisome namba.Walimu waisome namba, wauguzi waisome pia, wasanii waisome namba tena usiku na mchana, wale wanaojifanya kutaka kufanya usafi siku ya Ukuta waisome tena kwa herufi kubwa! Wakulima wazisome namba zoote ili wajue tulikuwa hatudanganyi kuwa kule ni walewale!!
Natamani aendelee hivihivi na asitokee mtu wa kumshauri.Natamani chama cha migomba waisome namba kwani wao walimpenda wenyewe bila shuruti. Napenda arudie tena kuwaudhi akina maalimu! Atuudhi wote! Natamani apige marfuku wanaume tusiongee mchana!! Aongee peke yake! Natamani kodi ipande mpaka peni tununue kwa shilingi Laki sita.
Natamani wanafunzi waisome namba mpaka wajute. Natamani wanawake waisome namba mpaka kujipaka mafuta iwe ni anasa!
Halafu uchaguzi ndio uje 2020.Tutakapo waambia chama kile ni walewale watatuelewa.Tutakapo waambia chama kile mkiwapa tena watatoa teuzi kwa ukanda watatuelewa. Tutakapo waambia wanavunja katiba watatuelewa.Tutakapo waambia kuwa wanavinyongo watatuelewa. Karibu 2020.
Hahusiki
Lazuma yaende hata kwa kuvaa magome na kula matunda+nyasimaisha lazima yaende