Wacha bana....hivyo.eeeh.....
Well.....pole sana shosti......hivi maisha yalivyo matamu namna hii.....raha zote hizi za dunia......umefikia kuwaza kunywa sumu.......uwiiiii.....God forbid......toa kabisa hayo mawazo.......huyo sio mwisho wa maisha yako.......tupa kule.....hama hapo..........
Vuta ngoma mpya.......simple........
Mapenzi kizungumkuti r.i.p mleta thread kajilaze bana peponi kuna bata zaidi.
Wewe unataka kufanana na izirail........nimekushtukia........
Pole sana kwa iko kiza cha mapenzi maana unasalimiwa lakini simu haipokelewimimi ni msichana wa miaka 26, naishi arusha nilikua na mchuchumba wangu ambae tumedum nae kwa miaka 2 na kupanga mambo mengi ya kuoana wote tumepanga nyumba moja japo kila mmoja anakaa chumbani kwake dec nilisafiri kwenda likizo nyumbani mwanza nimerudi jan 10 nimekuta kaanzisha mahusiano na dada jirani tena tumepanga nae nyumba moja nifanyeje wana JF yaani wanapika na kupakua yule dada ananiwekee nyimbo za mafumbo. taarabu, mpaka nakosa ham ya kuishi nilipomtaka nimuulize mchumba wangu imekuaje maana hatukukosana kabisa hataki kupokea cm yangu ananisalimia tu basi nampenda sana jamani naumia nashindwa niongee na nani anisaidie mimi niende wp jaman haaa kwel dunia haina huruma
Bora atangilie mapema kwenye makazi ya milele
Kwa hiyo akitangulia waliobaki wataishi kwa amani
Kila mwanadamu atabeba gunia la dhambi zake
We ruka binuka kata mauno kifo kipo palepale
Ina maana huyu ana gunia la kero kwenye nyumba au?
Kifo najua kipo.........ndio maana nimeamua kula bata la kufa mtu........
Omba Mungu kifo kisikukute kwenye bata