kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 534
- 323
Wauguzi wa kiume sikuhizi wanazidi kuongezeka. Ile dhana ya kuwa uuguzi ni kazi ya kike inapotea taratibu.madaktari wengi ni wa kiume, sasa ulitaka wanawake wahudumiwe na nani? manesi?
Hapana. Ndiyo maana fani hiyo inapaswa kufanywa kwa weledi wa hali ya juu. Pia ili mtu aweze kuingia huko, baada ya kufaulu masomo, anaapishwa na kwa kiapo hicho ni kosa kutoa siri ya ugonjwa wa mgonjwa anayemhudumia hata kwa ndugu zake bila mgonjwa kumpa ridhaa yake.Unakuta mgonjwa ni mwanaume haijarishi ni mzee au kijana utakuta anaudumiwa na nurse au docter wa kike tena kuna muda huduma itatolewa hataakiwa uchi na ni hivyo hivyo na hata kwa wanawake.
Sasa naomba kueleweswa kwani haiwezekani pakawa na utaratibu wa kutoa huduma hii kwa kufuata jinsia.
Maana kinachoendelea ni mimi naona ni unyanyasaji kwa wagonjwa na mgonjwa kwa muda huo hawezi kujitetea maana yeye anaitaji kupona bila kujari kuwa heshima ya kutunza tupu zake ndio keshaipoteza hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kiapo cha kutunza siri naona haupo serious mkuu. Siku hizi ukienda hospitali taarifa zako zinafika nyumbani unaumwa nini kabla hujarudi.Hapana. Ndiyo maana fani hiyo inapaswa kufanywa kwa weledi wa hali ya juu. Pia ili mtu aweze kuingia huko, baada ya kufaulu masomo, anaapishwa na kwa kiapo hicho ni kosa kutoa siri ya ugonjwa wa mgonjwa anayemhudumia hata kwa ndugu zake bila mgonjwa kumpa ridhaa yake.
Dah! Hii ndio naiskia leo mkuuNan kakuambia majeshi yanaheshimu jinsia, kuna kipindi niliomba nafas za kuingia jeshini wakat wa kupima afya wanakuangalia kama kweli ni rijali , nikamkuta Dada anakushika kende kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ili ujiunge na jeshi ni lazima uwe rijali?Nan kakuambia majeshi yanaheshimu jinsia, kuna kipindi niliomba nafas za kuingia jeshini wakat wa kupima afya wanakuangalia kama kweli ni rijali , nikamkuta Dada anakushika kende kama kawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta mgonjwa ni mwanaume haijalishi ni mzee au kijana utakuta anahudumiwa na nurse au doctor wa kike tena kuna muda huduma itatolewa hata akiwa uchi na ni hivyo hivyo na hata kwa wanawake.
Sasa naomba kueleweshwa kwani haiwezekani pakawa na utaratibu wa kutoa huduma hii kwa kufuata jinsia.
Maana kinachoendelea ni mimi naona ni unyanyasaji kwa wagonjwa na mgonjwa kwa muda huo hawezi kujitetea maana yeye anahitaji kupona bila kujali kuwa heshima ya kutunza tupu zake ndio keshaipoteza hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilichoeleza ni matakwa ya kisheria na weledi ya wauguzi na madaktari. Kinachofanyika ni jambo ambalo mimi na wewe hatuna uwezo nalo. Sawa na uwizi ni uvunjaji wa sheria ila watu wanaibiwa kila kukicha!! Imani yangu ni kuwa ukimshitaki muuguzi au daktari kwa kutoa taarifa zako nje, atakuwa na kesi ya kujibu.Hapo kwenye kiapo cha kutunza siri naona haupo serious mkuu. Siku hizi ukienda hospitali taarifa zako zinafika nyumbani unaumwa nini kabla hujarudi.
Sent using Jamii Forums mobile app