Natamani baba mtoto atokee ghafla

sijanyaka vizuri nini kinaendelea hapa Mshana JR
 
Kama alikuja na gari atalisahau hapo hapo...nyambaaaaafuuu kabisa huyu
 
Nadhani hata mama wa huyo mtoto hakumbuki ni nani hasa baba... ndio maana inabidi atinge na mtoto viwanjani ..
 
Pengine baba wa mtoto alimuokota huyo demu sehemu kama hizi for the very first time? Ndege wenye mabawa sawa huruka pamoja
 
Pengine baba wa mtoto alimuokota huyo demu sehemu kama hizi for the very first time? Ndege wenye mabawa sawa huruka pamoja

Unaweza kwakweli ukapredict hii ni familia ya aina gani au huyu mzazi ni wa aina gani
 
Ni mazoezi tu. hana wa kumuachia.
 
haya ndo matatzo ya kuoa wanawake wa kwenye vigodoro
 
Halafu wote wako za chini chini au goma lenyewe kuna sehemu likifika lazima uende chini staili ya kichura chura!
 
mke wea hivi hata mumewe yupo hivi ngoma droo unawezakuta yeye ndo anapiga hizi picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…