Natamani abadilishe kidogooo

Unamwambia tu mie hii routine katika kunanihii imenichosha, nataka mavitu mapya ambayo hujawahi kunifanyia ili nipagawe zaidi na kama kuna vitu specific ambavyo ungependa avifanye basi unavipanga kimoja baada ya kingine.
Haya mambo bwana BB sijui kaifokonyoa wapi hii, mambo yamebadilika siku hizi nilifunguka sana baada ya maushauri
 
sijui kwa nini nahisi unatamani awe kama porn movies unazoangalia.
Chunga sana,
Hakuna anaeweza kuwa kama stories zote, au hata combination ya stori/movies mbili.
Huyo ni binadamu mmoja,
hawezi kubadilikika kuwa kila mtu, na akabaki kuwa yeye.
Ukichagua mtu mmoja, manake umechagua kuacha wengiiiiiiiiiiine wooooooote,
wanaoshindwa kuchagua mmoja, manajke wanashindwa kuridhika na mmoja, washindwa kujizuia kupata na style zingine wana jina lao, huwa wanaitwa malaya, au dada poa.

Japo there is room for improvement, lakini usiweke mategemeo makubwa sana.
chagua dada,

huyo mmoja mshamba au upate mastyle mengi toka kwa watu wengi

nakuhahikishia hata mkijaribu style zote kichwani mwako unazoziwaza, bado hatafanya jinsi unavyofikiria, hizo ni ndoto tu.

cha maana fanya umamuzi, kuvumilia kuwango kilichopo, au utafute watu mbali mbali wakuridhishe.

jua hata na wewe ni mmoja, tu, huwezi kuwa kila msichana aliwahi kumuona. lazima kuna vitu ameamua kuviacha vive fascination, ili awe na wewe tu. Au unadhani unampa kila kitu anachotamani kila wakati?
Mbona kaweza na kawa kama navotaka sasa hivi ni mwendo mdundo, tatizo sio mshamba ila ile routine yake mwanzo nilikuwa naipenda badae ikanichosha
 
Shantel unataka kumuuliza "ULIKUWA WAPI?"

hahaha kweli bwana kila siku njia ileile tu dah inachosha eti eeehhhh...sometimes muangaliage movie za kikubwa inaweza saidia kama unaona aibu...maana asije badilikia wewe umejuaje kuna style nyingine...asije hisi unacheat bure....
Hahahahahaaaa ama kweli kwa sasa namuuliza sana tu
 
Hahahahahaaaa ama kweli kwa sasa namuuliza sana tu

Lkn usijali nimesikia eti Risasi wameicopy na kuipaste ile habari ya Babu Asipilini sasa mi naona umerahisishiwa kazi...Litafute lile gazeti makusudi liweke anapopenda kukaa na ufunue ule Ukurasa..AKISOMA ATAJIULIZA MASWALI YOTE....usiku lazima uone mabadiliko nakwambia....
 
Mbona kaweza na kawa kama navotaka sasa hivi ni mwendo mdundo, tatizo sio mshamba ila ile routine yake mwanzo nilikuwa naipenda badae ikanichosha

kama ni hivyo I envy you,
kama kuna mtu anabadilika at a flick of time,
you are very lucky, pia I wish hizo design mpya zisikuchoshe baada ya muda,

But it is good that you are happy for now

that is if the story was not just to take us for a ride.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom