Peleka ujinga wako jukwaa la chitchat.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Nataman sana kurud nchin mwangu tz maana siyo kwa furaha hiyo
Kuna watafit hudai watu wa tanzania hawana furaha lakin sio kweli aisee
Siyo kwa furaha hiyo
HUWEZ KUNIJIBU HIVYO MIMI
600 INAFAA,
TUFANYE 700
900 ITAPENDEZA ZAID
Hiyo ndo tanzania ya viwanda
LONDON BABY
Hahaaa mkuu mimi siko shule huku ujue niko kibishara aiseeNinyi madoctor SHIKA ndio mnajifanya ma dioaspora mbembe nyingi mara uraia wa nchi mbili mara turudi nyumbani kuwekeza mkirudi ndio hivyo vituko vya 900 itapendeza huku umevalia yeboyebo na mfukoni huna hata chapaa