Nataman kurudi nchin aisee siyo kwa mambo hayo

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Nataman sana kurud nchin mwangu tz maana siyo kwa furaha hiyo

Kuna watafit hudai watu wa tanzania hawana furaha lakin sio kweli aisee

Siyo kwa furaha hiyo

HUWEZ KUNIJIBU HIVYO MIMI

600 INAFAA,
TUFANYE 700
900 ITAPENDEZA ZAID

Hiyo ndo tanzania ya viwanda

LONDON BABY
 
Peleka ujinga wako jukwaa la chitchat.
 
ILA HOME NI HOME TU AISE HATA KAMA NA UMASIKINI ILA FURAHA IPO SANA.. NJE HAMNA LOLOTE KUJIACHIA KWA MASHAKA, WASHKAJI HAKUNA KILA MTU BUSY 24/7 MAISHA GANI HAYA
 
Ninyi madoctor SHIKA ndio mnajifanya ma dioaspora mbembe nyingi mara uraia wa nchi mbili mara turudi nyumbani kuwekeza mkirudi ndio hivyo vituko vya 900 itapendeza huku umevalia yeboyebo na mfukoni huna hata chapaa
 
Hahaaa mkuu mimi siko shule huku ujue niko kibishara aisee
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom