JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Nov 13, 2012 #81 kisukari said: duu miaka 70 na bado ana enjoy utamu,hongera zake.kuhusu hiyo issue wewe jinyamazie tu.maana yeye kujua kama umeshamuona ni adhabu tosha kwake Click to expand... aaahh jamani si kamkuta mtu kwake anakula raha zake tabu iko wapi?... tena inatakiwa ukamwombe radhi kwa kwenda na kuingia ndani kwake bila taarifa.
kisukari said: duu miaka 70 na bado ana enjoy utamu,hongera zake.kuhusu hiyo issue wewe jinyamazie tu.maana yeye kujua kama umeshamuona ni adhabu tosha kwake Click to expand... aaahh jamani si kamkuta mtu kwake anakula raha zake tabu iko wapi?... tena inatakiwa ukamwombe radhi kwa kwenda na kuingia ndani kwake bila taarifa.