Hiyo nyumba haina mlango?
man is no wood! kwani mkweo hana haki ya kufanya mapenzi? hiyo strictness ya mumeo wala haiwezi gusa anga za mahitaji ya ki mapenzi ya mama yake. sioni kikubwa kilichokukuta. wewe mwenyewe tayari unajua mapenzi ni nini. actually ningekuwa mimi ndo mkweo wala hata nisingekuonya chochote hata kama nilikuwa na mume wa mtu/ yeye ni mkwe wako mambo yake ni yake.Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje
Ana dementia
mwache bibi wa watu atimize majukum yake ya kimaumbile. kwanza utaanzaje kumwambia mumeo?
Yule baba akimweleza mkewe itakuwajekm ana senile dementia amewezaje kukuandikia msg!
Ww nyamaza tu ,huoni aibu kumwambia mumeo mama yake analiwa live live?
Kwa sababu nimemuona.na Yule baba no mume wa rafiki yake .akienda kumweleza mkewe je ?
Yule baba akimweleza mkewe itakuwaje
Mume wa rafiki yake wakaribu mno.kila jumanne family dinner huyo mama yupo na mume wake.mama mkwe wangu Ana dementia labda kambaka.na ninahisi hii text ilitypiwa na yeye.naogopa kinoma.umeshawahi fumania watu unaowajua:smiling:
man is no wood! kwani mkweo hana haki ya kufanya mapenzi? hiyo strictness ya mumeo wala haiwezi gusa anga za mahitaji ya ki mapenzi ya mama yake. sioni kikubwa kilichokukuta. wewe mwenyewe tayari unajua mapenzi ni nini. actually ningekuwa mimi ndo mkweo wala hata nisingekuonya chochote hata kama nilikuwa na mume wa mtu/ yeye ni mkwe wako mambo yake ni yake.
ww mumeo akikueleza amekula machine nje itakuwaje?
Kwa sababu nimemuona.na Yule baba no mume wa rafiki yake .akienda kumweleza mkewe je ?