Natakiwa kufanya nini nikimwona member mwenzangu wa hapa jeiefu?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,165
Reaction score
8,959
Wakuu naomba mwongozo.

Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka.

Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu?

Je ni busara kula buyu tu kama vile huijui hata iyo jeiefu yenyewe na ukaendelea na yako?

Je sio ingependeza mka-haiana kiaina na jamaa na ikiwezekana hata kutambuana?
 
Kuna siku nilikua kwenye panton naperuzi jf ghafla nikajishtukia
Nikageuka nyuma nikamuona mbaba mtu mzima sana, anakodolea simu yangu, kwa jinsi nilivyomsoma alikua anasubiri tu ajue mimi ni nani.
Nikamchekea na yeye akacheka.
 
Pita kushoto kisha tembea
 
mlikuwa mnachekeanaa yani... kilifata nini baada kuchekeana cheko za kwenye pantoni?
 
Aaah kumbe ulikua ni wewe. Anyway mie sio mbaba ila alinihadithia😂😂🤣🤣

Back
Top Bottom