Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Wa aina hiyo anaweza kwenda na mtu mpaka kwenye chumba lodge/hotel or whatever the place na kudai hakujua nia ya jamaa.
Kipindi tunakua Hakuna kuyongoza unamwelekeza mtu kuambiwa tu mazingira ya kukutana anajua Nini kinafuata
Ukweli pamoja na kumega kibao Lkn cjawahi kutongoza
 
Groupie tena?
Kwa hiyo wewe ushakuwa Super Star?
Teh teh teh teh teh.
I'm good by the way......

Hahahaaa we mtani bana...una mambo sana.

Halafu ujue mi sio superstar...mi ni rock star.

Did you get that? Let me put it in all caps...I'M A ROCK STAR.

Hahahaa....glad to hear you're good, though.

Sasa leo vipi? Hushushi mabomu hapa?
 
hehehehehehe hapa pashachafuka....

Ngoja nile kona...
 
Hahahaaa we mtani bana...una mambo sana.

Halafu ujue mi sio superstar...mi ni rock star.

Hahahaa....glad to hear you're good, though.

Sasa leo vipi? Hushushi mabomu hapa?

Heeeheeeeee!
Nimekuja jua navyoshusha mabomu nakupa umaarufu.
Halafu watu wanaweza kukugundua wewe ni nani. And i cant risk that. And i can't risk that.
Wewe ukikimbia humu I WILL BE BORED TO DEATH, hakuna mtu wa kumtukana.
By the way how is our little girl doing????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Aaah mtani ndo nini sasa hivyo bana? Usiache....

By the way how is our little girl doing????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

You don't know her.
 
Aaah mtani ndo nini sasa hivyo bana? Usiache....

You don't know her.

Teh teh teh teh!
Mbona huu siyo utani ni ukweli?
Halafu wewe jamaa unajua kucheza sana na akili za watu humu hasa hawa mabinti.
Hivi Asanterabi Malima unamjua yule chaliii?? Basi kuna siku alikuwa na wana fulani hvi miaka hiyo kitaa wanakuja kucheza chess wanatoroka Mzizima. Kuna jamaa yake humu akaongea kauli humu kumbe namsoma. Nilicheka sana.

Wewe Ngabu nikisema sana watu watakujua na itakuwa noma kwenu. So Chill
Na wewe un aropoka mengi hadi ya kweli halafu nakucheki tu
 
Nakulaumu na wewe kwa kiasi flani.

Unajua sana kuchochea mambo halafu yakiwaka unakula kona unaenda kujibanza sehemu ukichekelea.

No bueno.
teh teh teh teh sasa mimi hapa nimefanya nini aisee..

We were going back and forth mimi, wewe na MALCOM LUMUMBA.. All of the sudden anakuja mtu kutukana na kusema sijui tunakufatilia sana.. Tena tumefanya ustaarabu kuwaignore wengi sana tangia jana ambao hawaijui hii ligi yetu.. Ni Mali pekee ndiye kuna demu alimwambia huko juu aache kudandia yasiyomuhusu.. Kuna mwanaume mwingine hapa alidandia na kuanza kutukana wala hakuna aliyehangaika nae.. Sasa huyu nae sijui ametokea wapi na hasira zake ameanza kuteremsha matusi hapa..
 
Teh teh teh teh!
Mbona huu siyo utani ni ukweli?

Ukweli ni upi mtani? Acha longolongo bana shusha hayo mabomu watu tuburudike...teh teh teh.

Halafu wewe jamaa unajua kucheza sana na akili za watu humu hasa hawa mabinti.

Unanisingizia. Mi mshamba mshamba tu. Mjini nimekuja kwa garimoshi.

Hivi Asanterabi Malima unamjua yule chaliii?? Basi kuna siku alikuwa na wana fulani hvi miaka hiyo kitaa huwezi amini niliwakufumusha humu hadi leo wanamind sana.

Yule arif simjui kabisa. Ila nshawahi kumwona kwenye viblogu. Kuna kipindi alimwoa mtoto wa nani sijui.

Wewe Ngabu nikisema sana watu watakujua na itakuwa noma kwenu. So Chill

I GUARANTEE YOU, 100% GUARANTEE, HAKUNA ANAYENIJUA HUMU.

YOU CAN TAKE THAT TO THE BANK.
 
Mommas boy kapanic.
Wanakuja kumtetea hapa halafu anakurushia mpira wewe kweli?
Hivi mtu mzima hajui kama kutukana na kuingilia mambo yasiyomhusu ni makosa?
 
Hali ya hewa ishachafuka bana.

Kwanza leo nilikuwa na hamu sana ya vibomu vya Mali na mi nikawa nimejiandaa na mapicha kibao.

Basi ngoja nipotezee tu. Tutakutana kwingine siku ingine maana hii ligi ni endelevu teh teh teh.
 
Ukweli ni upi mtani? Acha longolongo bana shusha hayo mabomu watu tuburudike...teh teh teh.

Unanisingizia. Mi mshamba mshamba tu. Mjini nimekuja kwa garimoshi.

Hapana wewe siyo mshamba kabisa!
Na surely mzee wako amekufanya uwe hapo ulipo.
He's an inspiration even to me, lakini huwa sikuelewi pale unaponda sana Tanzania wakati baba yako alishawahi Kuwa adviser wa TOP BUREACRATS hapa nchini.
 
Hali ya hewa ishachafuka bana.

Kwanza leo nilikuwa na hamu sana ya vibomu vya Mali na mi nikawa nimejiandaa na mapicha kibao.

Basi ngoja nipotezee tu. Tutakutana kwingine siku ingine maana hii ligi ni endelevu teh teh teh.

Mimi leo nilikuja na HINT nyingi hadi kuonyesha ulivyo na Double Standards.
 
Mommas boy kapanic.
Wanakuja kumtetea hapa halafu anakurushia mpira wewe kweli?
Hivi mtu mzima hajui kama kutukana na kuingilia mambo yasiyomhusu ni makosa?
Cha kushangaza zaidi ni kwamba hakuna alipotajwa kwenye huu uzi... Labda huwa inamuuma tunavyomchachafya Ngabu hapa..

Alafu sasa kuna watu ukisoma tu wanachoandika unakuwa umepata picha ni mtu wa namna gani...
 
Hapana wewe siyo mshamba kabisa!
Na surely mzee wako amekufanya uwe hapo ulipo.
He's an inspiration even to me, lakini huwa sikuelewi pale unaponda sana Tanzania wakati baba yako alishawahi Kuwa TOP BUREACRAT hapa nchini.

Bwa ha ha ha ha ha ha....
Daaah yaani we jamaa nakuchora kweli yaani.
Sasa ndo nimeamini kabisa kuwa hujui kitu.

Lakini, kwa vile nina uhakika wa 110% kuwa hujui kitu ndo maana nakupa rukhsa hapa ya kumtaja huyo unayedhani ndo mzee wangu.

Halafu kwanza mzee wangu marehemu tayari.....sasa mtaje hapa hapa na watu wote wamjue.
 
Cha kushangaza zaidi ni kwamba hakuna alipotajwa kwenye huu uzi... Labda huwa inamuuma tunavyomchachafya Ngabu hapa..

Alafu sasa kuna watu ukisoma tu wanachoandika unakuwa umepata picha ni mtu wa namna gani...

Sasa ukistaajabu ya NGABU utakuja ona ya MATOLA,
Ngabu anaponda sana nchi hii lakini his pops was an adviser to TOP BUREAUCRATS in Tanzania including Nyerere himself.
The father traveled a lot and the kid got a robust experience. teh teh teh and after asking i hear he had a very bad temper at a young age. He had a sennse of Belligerency in him. What a Brat.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…