Nataka ujinga kwani mimi?

*```Usiku nimeota ndoto nimekamatwa na polisi na kupakiwa kwenye difenda kuelekea kituoni.```*
*```Sa wakati tunakaribia kufika kituo cha polisi,nikaamua zangu kushtuka.```*

*```Sipendagi Ujinga Mimi```*
 
Ukichukua simu ya demu wako halafu pale kwenye most used emoji unakuta zimejaa
halafu we kila siku anakutumia
jua kuna mwanaume mmoja ambae hapendagi ujinga.
 
huu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani
Ni msemo wa kijinga unaoshadadiwa na watanzania tena kizazi cha mitandao....afu eti tuje tutengeze basic material a.k.a made in Tanzania ahaa ahaaa bongoland lala mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…