mambo vipi lakini kalunde!? mbona unakuwa adimu ka chozi la sangara?
Hahahahaaaaa excel wewee huku ni kuchokoana huku, aliekwambia uniite kalunde huku nani? Kuna watu wanaweza unganisha dots wakanijua
Siko adimu niko availebo tuu kama bodaboda kula kona kila wakati...
Nipeni kula nishibe mimi, mwili wangu unenepe
Siwezi kula vifupa jamani mwenzenu kibogoyo
Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nasema nataka paja mie
Soda ya kopo, soda ya kopo
Soda ya kopo, soda ya kopo
Njo 2tombne2
daah mkuu, ungefanya iwe 19th feb my birthday ili nami niwe among the audience