Show yenyewe itakuwa tarehe 20 February,2014
Jamani niko sirias mbona mnaguna tuu na kuuliza kama humu kuna wachungaji? Na hiyo taarab. Jamani ndo umeniimbia kabisa NN, mie nimeiweka kama heading ila nataka UDI wapi ntaupata? Tafadhali.
Yaani dem ukijifukizia udi nakushusha hadhi kabisa cjui kwann? Si pendi kabisa
Goddamnit, Are you high or something? I hope so for your sake, give yourself a round of applauseNipeni kula nishibe mimi, mwili wangu unenepe
Siwezi kula vifupa jamani mwenzenu kibogoyo
Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nasema nataka paja mie
Soda ya kopo, soda ya kopo
Soda ya kopo, soda ya kopo
Kasinde ni-pm namba yako ileee.. nikupe mautundu ya kujifukiza huku ukiwa na mziki laiiini wa anantara spa!!Habari zenu MMU wik end ndo hii hapa, hasa kwa mambo yetu yalee ya kati. Natakiwa kupiga show moja kali matata sasa naaza kujikoki mtoto wa kike nisije aibika bure siku ya show. Katika vikoromwezo vyangu vya kujiandaa nimegundua kuna kitu kinamiss na kinaweza nishushia maksi sasa kila nikiuliza maduka ya wahindi nimekosa naombeni msaada wenu kuipata bidhaa hii tafadhali.
Nataka UDI wa kujifukiza SIO ubani hapana nataka UDI shurti nijifukize baada ya kujiswafi tayari kwa show. Show yenyewe itakuwa tarehe 20 February,2014 msaada wenu tafadhali wapi naweza pata bidhaa hiyo.
Week end njema wote.