structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 911
anaeuza smartphone nzuri kwa bei hiyo anipm. Zingatia simu ya weza kuwa mpya au used kidogo.
Inapaswa iwe na clear camera,charge atlist kwa siku moja, android itakuwa poa zaidi,isiwe techno,lumia pia sio kivile labda niweconvncd vya kutosha,gorila glas.
Zingatia ukiwanayo toa specfication zake hapa kama vile rom yake,ram,interna memory,mp,etc