Anaweza kupata ya kulenga.....mfano ikitokeikitokea mtu ana shida ya hela fastaHiyo mil 6.5 huwezi kupata mkuu kavute pumzi tena
Kw hela yako iyo nakushauri kanunue vitz utapata nzuri sana ila siyo rav4 labda upate mkweche vinginevyo utatapeliwa mkuu..Mwenye nayo aweke Picha hapa
Au njoo Pm