Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Huyu mi nilisha mwambia kitambo aache unafiki tunajua a&b zake
 
Lazima ataukataa tu, maana 2016 na leo 2020 kuna mengi
mradi jamaa keshanukuliwa kuwa hataongeza hata sekunde tusubirie
Principles zangu hazibadiliki. Zipo palepale.

Kama nilichompingia Magufuli 2016 bado anakisimamia, basi msimamo wangu upo palepale.

Yeyote mwingine atayetamani kama alivyotamani Magufuli, naye anapingwa tu.

Naye ataombewa ashindwe.

Tatizo nilionalo hapa, ni uwezo wenu mdogo nyie nyumbu.

Zaidi ya kusoma vichwa vya habari, mengine myasomayo hata hamyaelewi!

Kwa mfano wewe, umeelewa nini katika nilichokiandika?
 
NN naona umebadili gia angani😅
Mana we na Magu sikuhz hatukuambii kituu hehe
 
Mhhhhhhhh ,.kwny debate unamshauri aende ama asiende?
Suala la debate halina uhusiano wowote na principles zangu, ambazo msingi wake ndo ulinifanya nitamke nataka ashindwe [kuhusiana na jambo moja mahsusi].

Likija suala la debate, ni wazi kuwa msimamo wangu pia haujabadilika tokea 1995.

I am all in, ten toes down, for presidential debates.

Ngoja sasa nijibu swali lako moja kwa moja:

Ingawa mimi si mshauri wake na hivyo siwezi kumshauri, licha ya hilo, nataka mdahalo ufanyike kati ya wagombea wote wa urais.

And yes, Magufuli included.
 
Atashindwa mwaka huu
 
Magufuli hawezi kujitokeza kwenye mdahalo, yes, ccm haijawahi kukubali mdahalo
 
Magufuli hawezi kujitokeza kwenye mdahalo, yes, ccm haijawahi kukubali mdahalo
Na kweli akijitokeza it may cost him or polish him.,
It has a profound effect kwenye election results, hasa hapa kwetu ni kitu kigeni.,

Asipojitokeza nayo inashusha credibility..like kwani anaogopa nini?.
Ni mtego...na fursa at once

Kwa kuwa tushaingia Uchumi wa Kati basi ingekua poa tufanye matendo ya nchi za Uchumi wa Kati!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…