Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
No nampenda nizae nae tuUnadhani kwa kufanya hivo unamkomoa?
DuuhNo nampenda nizae nae tu
Ntalea Mtoto nampenda aiaeeAcha ujinga ww....uzae nae tu ndo manake nn...ukishazaa nae nan atamuoa??...
Zaa na huyo mchumba wako...
Hakuna ntaleaHafu akishakuwa single mother unarudi kumponda.
AsanteWakati mwingine muoneage huruma watoto wenu. Huo uamuzi wako mwisho wa siku atakayekuja kuumia ni mtoto wako. Kama unampenda sana huyo ex wako muoe huyo huyo ili msisahauliane vizuri
Sio tamaa elewa nampenda nizae nae na yeye anapenda tuzaeUsiwe mchoyo. Hapo uajifkiiria wewe tu. Mtoto vipi? Uko tayari mtoto wako aishi na mzazi mmoja mmoja? Utamnyima kitu sababu ya tamaa zako.