Ngoja niwachonganishe na nye! Tunaita uchochezi aka FITNA kama ifuatavyo🙁Kama Mtwara walivyochopchewa tu)
Khaaaaaaaaaaaaaaa! Madame B umesikia? Jamani jamani nyie, haaaa! Anakutukana hivin hivi mchana na kila mtu amesoma. eti Smile anakwambia "Si unajua viroba?". yaani ningekuwa mimi sikubali. nampiga hadi awe no. 1 kwenye post yake.
Atakutukana vipi bana na wewe unaangalia tu? Aisee, usikubali labda kama wewe si Madame B ninayekujua. Khaaa! Mamaaaaaaaaaaaa . . . . . yaani usipo m-RIP nitashangaa sana sana. Mweeeeh!
cc: Jestina nishakaanga mbuyu ngoja watafune sasa . . .
Mkuu hakuna kitu kunachodanganya kama BMI. Ni sawa na kufanya mazoezi ya heavy weghting, halafu ukajipime kwenye mizani. Sasa sana utakuta umeongezeka uzito kutokana na kukua kwa muscles.Smile mbona ni rahisi sana:
1. Angalia katika table ya Body Matrix Index, BMI yako ikoje, then utajua kama wewe ni undeweight, au normal, au overweight au Obesity
2. Pili pima % yako ya fat pia utajua kama mafuta uliyonayo mwili yako juu ya kiwango au la
3. Ukishajua 1 na 2 utajua upunguze uzito kiasi gani
Ukishajua fanya diet plan ya kukata uzito. Kwa ulimwengu wa sasa ni rahisi sana kuliko maelezezo: You simply use "High Thermic Effect Food". Hii ni kiboko ya kutoa mafuta mwili na kutoa kitambi na nyama uzembe
sambamba na hilo, ukitaka shape kama na 4 uliyosema ambayo kimsing ni "Pear" au "Hourly Glass" au "Namba 8", inabidi uhakikishe una "flat stombach" na "Wide Hips", hilo pia linawezekana, fanya mazoezi ya sit ups ambayo yatakaza misuli ya tumbo na kuondoa kitambi kabisa na nyama uzembe. Pia mazoezi ya Anaerobic na Aerobic yanafaa kwa ajili ya kubalance misuli na mafuta
NB: Hips kubwa sometimes ni Genes. Kama kwenu hakuna ni hakuna tu, unaweza ukawa ulala Gym lakini kama wewe ni namba 9, ukakuta unabaki nayo hiyo hiyo.
Mkuu hakuna kitu kunachodanganya kama BMI. Ni sawa na kufanya mazoezi ya heavy listing, halafu ukajipime kwenye mizani. Sasa sana utakuta umeongezeka uzito kutokana na kukua kwa muscles.
Unaweza kuwa na uzito wa kawaida kabisa kwa mujibu wa BMI yako, lakini bado ukawa na extra belly fat that the BMI doesn't take into account.
BMI, ambayo sana sana inalinganisha uzito na urefu wako, haiwezi kutofautisha kati ya lean, sexy, healthy muscle na fat ya ziada mwilini, hasa belly fat.
Kwani tatizo la Smile ni uzito au unene? As far as ninavyoelewa uzito na unene ni vitu viwili tofauti. Unaweza kupunguza unene aka fat lakini uzito ukabakia pale pale au ukaongezeka. This is common kama unafanya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito.
Of course, lazima urekebishe huko jikoni, lakini pia mazoezi ndiyo mpango mzima.
Hiyo ya kufanya mazoezi kwa kulengeshea sehemu moja tuu haisaidii. Inabidi kupiga mazoezi kwa kuhusisha pande zote za mwili. What is the point of having a flat tummy, wakati mikono iko flabby?
Nafikiri the most important ya kufanya mazoezi iwe ni kwa ajili ya kuwa na mwili wenye afya na siyo kuwa na mwili wa disaini fulani. Disaini ya mwili unaoutaka utakuja naturally tuu kama unafanya mazoezi na kuwa makini na unachokula na kunywa.
Agreed. Kuna watu wengi hasa sie weusi, genetically, wana bones kubwa.
koma,mbwa koko wewe....
madam b huyo ni sooo...
Khaaaa! Jino kwa jino?
Nyieeee, nitawapeleka sayari za mbali mie. Ohoooo! We haya we!
Ngoja niwachonganishe na nye! Tunaita uchochezi aka FITNA kama ifuatavyo🙁Kama Mtwara walivyochopchewa tu)
Khaaaaaaaaaaaaaaa! Madame B umesikia? Jamani jamani nyie, haaaa! Anakutukana hivin hivi mchana na kila mtu amesoma. eti Smile anakwambia "Si unajua viroba?". yaani ningekuwa mimi sikubali. nampiga hadi awe no. 1 kwenye post yake.
Atakutukana vipi bana na wewe unaangalia tu? Aisee, usikubali labda kama wewe si Madame B ninayekujua. Khaaa! Mamaaaaaaaaaaaa . . . . . yaani usipo m-RIP nitashangaa sana sana. Mweeeeh!
cc: Jestina nishakaanga mbuyu ngoja watafune sasa . . .
Lady doctor miguu nayo ni chupa ya bia?ni kama 4 lakini amenizidi kidogo cha juu
Muone mchina.....
madam b leo birthday yangu...so nashindwa kucheka ..sitaki kulia ... ujue jina langu maanas yake amaniMbwa koko wewe na hawara yako shoga..........
Akomi mtu hapa.
Umejishuku kwani umetajwa wewe.
KUUJUA MJI UKUBWANI KAZI KWELI KWELI.
madam b leo birthday yangu...so nashindwa kucheka ..sitaki kulia ... ujue jina langu maanas yake amani
muache wajina wangu bana
nina tumbo kubwa ..nitumie hizo series bana nitoke..mwanamke shepu babub sura hata mbuzi anayo
Si wajua jamaa wa kule kwa mzee wa Kiraracha wanazingatia sana nyama na biere kama dozi, so unene ni mwingi sana huko.
They are very helpful, nimezifanyia kazi ni nzuri sana,ukiwa serious in fews weeks watakushangaa. ninazo sita au saba hivi tofauti. Kama uko serious Ni MP namna bora kwako kuzipata.
Naomba ututajie hizo series za kupunguza mwili, Please!.
hehehehenina tumbo kubwa ..nitumie hizo series bana nitoke..mwanamke shepu babub sura hata mbuzi anayo
shukrani kaka nitakupm kesho ngoja nilale kwanza nipo hoooooooooooooooi now