T tenanzinyo Member Joined Dec 28, 2012 Posts 64 Reaction score 23 Dec 8, 2013 #1 Naomben mniambie vitu muhim nikitaka kuflash sim,
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,300 Dec 8, 2013 #2 Itumbukize kwenye choo cha kuflash,ukiflash inaenda..
K Kal4kaizy Member Joined May 2, 2012 Posts 66 Reaction score 9 Dec 8, 2013 #3 Jaslaws said: Itumbukize kwenye choo cha kuflash,ukiflash inaenda.. Click to expand... Du! Sio jibu zuri, sijui ingekuwaje kama ungemujibu hivyo ana kwa ana
Jaslaws said: Itumbukize kwenye choo cha kuflash,ukiflash inaenda.. Click to expand... Du! Sio jibu zuri, sijui ingekuwaje kama ungemujibu hivyo ana kwa ana
S Surgical Blade JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 349 Reaction score 16 Dec 8, 2013 #4 Kal4kaizy said: Du! Sio jibu zuri, sijui ingekuwaje kama ungemujibu hivyo ana kwa ana Click to expand... Humu ndani wapuuz weng, yan hata hawajui wameingia jukwaa gan, kama huyo hapo juu, Kwel pumba za kumjibu mwenzie, . Niliwaona kibao tu, kwenye Thread ya Wi-Fi kuna wapuuz et Wi fi ni dada ake na nan sijui, watu hawapo makn
Kal4kaizy said: Du! Sio jibu zuri, sijui ingekuwaje kama ungemujibu hivyo ana kwa ana Click to expand... Humu ndani wapuuz weng, yan hata hawajui wameingia jukwaa gan, kama huyo hapo juu, Kwel pumba za kumjibu mwenzie, . Niliwaona kibao tu, kwenye Thread ya Wi-Fi kuna wapuuz et Wi fi ni dada ake na nan sijui, watu hawapo makn
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,644 Reaction score 7,120 Dec 8, 2013 #5 tenanzinyo said: Naomben mniambie vitu muhim nikitaka kuflash sim, Click to expand... Kama upon dar nipm no yako ya simu,
tenanzinyo said: Naomben mniambie vitu muhim nikitaka kuflash sim, Click to expand... Kama upon dar nipm no yako ya simu,