tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 23
Naomben mniambie vitu muhim nikitaka kuflash sim,
Itumbukize kwenye choo cha kuflash,ukiflash inaenda..
Du! Sio jibu zuri, sijui ingekuwaje kama ungemujibu hivyo ana kwa ana
Kama upon dar nipm no yako ya simu,Naomben mniambie vitu muhim nikitaka kuflash sim,