Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,228 Jan 2, 2019 Thread starter #21 Nleterewa Nganengo said: K' Matata mwenye pumzi zake. Na ukongwe wako bado unakimbia mbio ndefu namna hiyo (jioni - 4 usiku si mchezo). Ngoja nikuandalie Gold medal. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahahahhahahaa wanasemaga uzee ni uchakavu.... Vile unajiweka ndo unakuwa.... umri ni mabadiliko ya namba tuu ila unavojiweka unaweza wapa mtihani watu kuamini umri wako.
Nleterewa Nganengo said: K' Matata mwenye pumzi zake. Na ukongwe wako bado unakimbia mbio ndefu namna hiyo (jioni - 4 usiku si mchezo). Ngoja nikuandalie Gold medal. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahahahhahahaa wanasemaga uzee ni uchakavu.... Vile unajiweka ndo unakuwa.... umri ni mabadiliko ya namba tuu ila unavojiweka unaweza wapa mtihani watu kuamini umri wako.
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,228 Jan 2, 2019 Thread starter #22 General Mangi said: Kasiee, Nataka tuishi wote pamojaa!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahahahhaaaa sweet mangii Dadii atakupiga mtama heheheehehe
General Mangi said: Kasiee, Nataka tuishi wote pamojaa!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahahahhaaaa sweet mangii Dadii atakupiga mtama heheheehehe
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,228 Jan 2, 2019 Thread starter #23 yna2 said: Kasie mahaba Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Holaa.... Mahaba Matata....
yna2 said: Kasie mahaba Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Holaa.... Mahaba Matata....
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,228 Jan 2, 2019 Thread starter #24 gh hussa said: Write your reply...ngoja nipite kimya kimya Click to expand... Pole kwa kushindwa kuishi maneno yako heheheheheheehheh Matata Kasie hapana chezea yeye hahahahahhaaa.
gh hussa said: Write your reply...ngoja nipite kimya kimya Click to expand... Pole kwa kushindwa kuishi maneno yako heheheheheheehheh Matata Kasie hapana chezea yeye hahahahahhaaa.
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,228 Jan 2, 2019 Thread starter #25 chaliifrancisco said: Kasie Matata Kasie Mahaba Kasie Mambo Yote Click to expand... Safii saaafii saanaaaa...... Kasie Dadiii Umepatia sanaa.
chaliifrancisco said: Kasie Matata Kasie Mahaba Kasie Mambo Yote Click to expand... Safii saaafii saanaaaa...... Kasie Dadiii Umepatia sanaa.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,631 Reaction score 81,726 Jan 2, 2019 #26 Kasie said: Safii saaafii saanaaaa...... Kasie Dadiii Umepatia sanaa. Click to expand... πππ
Kasie said: Safii saaafii saanaaaa...... Kasie Dadiii Umepatia sanaa. Click to expand... πππ
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,187 Jan 3, 2019 #27 Kasie said: Hahahahahhaaaa sweet mangii Dadii atakupiga mtama heheheehehe Click to expand... Hahaaha, Tutaingia ulingoni, Mshindi anabeba jikoo!!
Kasie said: Hahahahahhaaaa sweet mangii Dadii atakupiga mtama heheheehehe Click to expand... Hahaaha, Tutaingia ulingoni, Mshindi anabeba jikoo!!
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,228 Jan 3, 2019 Thread starter #28 General Mangi said: Hahaaha, Tutaingia ulingoni, Mshindi anabeba jikoo!! Click to expand... Hahahahahhaaa Mangii Umetangaza vita rasmi, shauri yako. Haya jiandae ila usiniumizie mali ya Dadiii wangu..... utamu wake sitaki kuukosa hata kidogo.
General Mangi said: Hahaaha, Tutaingia ulingoni, Mshindi anabeba jikoo!! Click to expand... Hahahahahhaaa Mangii Umetangaza vita rasmi, shauri yako. Haya jiandae ila usiniumizie mali ya Dadiii wangu..... utamu wake sitaki kuukosa hata kidogo.