Huko ni mchana wa tarehe ngap vile[emoji23] [emoji23]Habari za mwisho wa mwaka,
Habari za mchana wapendwa wote wa humu MMU,
Habari za siku mbili tatu nilizopotea humu....
Nipo nimejaa tele likizo imeninogea basi nazunguka kila mahali kigulu na njia kizungu wanasema (to explore the city).
Leo nimerudi mapema nikasema wacha nisimulie yanayojiri huku niliko na Dadii....
Basi jana jioni ile tumerudi hotelini kutoka kwenye matembezi yetu mie nikaingia bafuni kuoga ili kujiandaa na mtoko wa usiku. Sasa wakati naoga Dadii akaniambia Kasie naomba niimbie wimbo nna kiu.... hehehehehheheee akili ya Kasie muda wote inachaji mahaba. Bila kupitisha dakika ukanijia wimbo wa Ray C - Nataka Niwe an Wewe Milele.....
Nikalegeza sauti bibi wa watu na kuanza kuimba hehehehehhehehe (mnisamehe ntasimulia vichache vilivyotokea)
Niliimba maneno machache tuu ya huo wimbo, ila baada ya hapo tulijikuta tunatoka bafuni saa nne usiku......
Nataka niwe na wewe milele, Nataka tuwe na watoto Dadii
Nataka tuishi wote pamoja, nataka niwe na wewe milele.....
Siku niliyokuona macho yangu yalistuka....
Nilijua roho yangu, mimi kwako imefika
Na sasa tuko pamooja, uwe wangu niwe wako
....................................................................................
Penzi sitolibadilii, kwa udi hata ubani
Penzi letu liwe taaamu, tamu lishinde asali
Penzi usinidhulumu, nipe raha za ndani zote
(Raha) Ziishi moyoni mwaangu, milele hata milele
(Raha za penzi letu) Ziwaudhi MAADUI wasopenda penzi letu
Ziwaudhi MAADUI wasopenda penzi letu
Kila kukicha natabasamu
Nina furaha kuwa na wewe
Wanipa raha bila karaha
Nina furaha kuwa na wewe..........
Usishangae naimba tuwe na watoto na Dadii japo tu wazee.......(tunafunga mwaka....)
Ukiacha habari ya kufunga mwaka ni Mahaba yameshika hatamu, yanayopambwa na nyimbo, sauti kama ya bi. Kidude, na madikodiko juu hehehehehheee.
Skamoo Dadiii.... Hapana chezea mahaba ya milenia, aka mahaba ya kufungia mwaka wuuuhuuuuu.....
Heri ya Mwaka Mpya Nyote.
Kasinde Matata.
Ever Smiling Kasie.
Hahahaaa
And some of these stupid dumbass muthafckurz in here still think I am ‘Dadii’.
Only if they knew.
Enjoy your vacay Kasie. It is well deserved..
Okay Kasiba, got your words. You always tell me these words, it has never got out of my mind since then.....Always remember....behave yourself; don’t do anything I wouldn’t do [and you already know there ain’t a whole lotta shit that I won’t do].
.
Happy New Year and tell ‘Dadii’ I said ‘what up’.
Hivi Jabuu, what if you were Dadii.....heheheeeee am just thinking about the combination..... (and if it happens chromoseme XY Ngabu meets with chromosome XY Kasie).... hahahahahahaaaaaaa
And to cut them down, please ask your hubba to sing for you here in JF..... a thread....
One thing, I think they think that you are Dadii cause you are 65 years old granny hahahaaaaaaaaaa
Babu Ngabuuu
.......................................that you are mnyatuzu and not Kasie's Dadii heheheheeeeeeeee
Thanks Dadiii ooohhps, you are not Dadii I forgot......
Thanks Jabuu 😉
In bold colour on the first place I read it as vajay...... hahahaaaaaaaaamy eyes got wide kumbe ulisema vacay oooh okay heheheheeeee
Okay Kasiba, got your words. You always tell me these words, it has never got out of my mind since then.....
Thanks Baby Lacostee, Happy New Year to you too....
He (Dadii) just say *** up...... hahahahahahhaa simooooo
Halafu....... saa ingine uwe unaandika kinyatuzu bana kila mtu aelewe, sio hadi tufungue dikshenari na kamusi hehehehehehehehee mbiiiiooooooooo
Shamoo babuuu Dadiiiii.......
K'Matata
Kasie matata katika ubora wako, hbri zetu ngoja tuamke manake Leo hta hela ya nusu chapati na chai ya rangi hkna kbsa
Sent using Jamii Forums mobile app
For the english you have... you are building a soft landscape way to my pumping point
I never get disappointed with your honey bolded words..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasie fasi ya mambelez huko panasemaje? Mambo ni yenteyente yaani shigide ama nini ?Oooh yeah I will, they open at 0900. Will be there on time. It is in my schedule....
Kasie fasi ya mambelez huko panasemaje? Mambo ni yenteyente yaani shigide ama nini ?
Basi kula Gwara.
Haikatai haikatox.
Sent using Jamii Forums mobile app
Come again....!!