CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,193
- 915
Wewe Ni bogus.
Spelling hujui........
PhD yenyewe hujui inavyoandikwa. Nadhani kaanzie dip. Pale CBE
Kwa utangulizi huu Hiyo PhD ni hasara kwa taifa bora tusomeshe degree mbili nyingine
Nenda tu usiogope, kama Magufuli na Mwigulu wameweza huwezi kushindwa.
Mkuu mambo yanabadilika. Kwa SUA kwa mfano preferred mode of presenting results zako ni papers. Issue ni je umeplan kumaliza kwa muda gani? Muda ukiwa mfupi publishing inakuwa changamoto. Issue ya kumaliza kirahisi rahisi kwa sasa si kweli kwa chuo kama SUA.Kitu ambacho vyuo vya Afrika mashariki kama Dar es Salaam, Makelele au Nairobi unamaliza tu kirahisi rahisi bila kuifanyia kazi yaani wanatoa Ph.D kama Masters bila hata ku-publish (through your unpublished thesis only). Ni Afrika mashariki pekee hapa ulimwenguni hasa hasa Tanzania si ajabu kumkuta mtu ana Ph.D ila hana chapisho lolote lile ktk international journals hasa hasa akisoma hivi vyuo vya mchangani nilivyovitaja hapo.😀
Wewe Ni bogus.
Spelling hujui........
PhD yenyewe hujui inavyoandikwa. Nadhani kaanzie dip. Pale CBE
Hii roho mbaya [emoji16]
Hawa wapo kila mahali mkuu...ndio wanatupa moto wa kupambana
Kusoma sana ni uoga wa maisha!!
Hahahahaha haya Mpwa, all the best!Kaka kuna watu wanarudi shule wakiwa standard za maisha kabisa...fikra finyu hizo
Na kadri unavyosomea sana mavyeti ndio unakuwa mjinga kwa mengi .Kusoma sana ni uoga wa maisha!!
Kisha unaenda kwenye Politics ukifika unapelekwa na class sevenNa kadri unavyosomea sana mavyeti ndio unakuwa mjinga kwa mengi .