You are forgeting a very basic principal in life: Toa ili upate, Raha ya tendo ni pale unapoingia kwenye tendo ukiwa na lengo la kumfurahisha mwezi wako. Tafuta mtu ambaye utampenda sio kwa mavazi tu (actually mavazi mafupi kiubongo yana mvuto wa muda mfupi sana wanawake wengi hawajui hilo mfano vazi lefu la mchanuo mchanuo mkubwa linamvuto sana kuliko kinguo kikaptula kifupi unaangalia kila siku). Ukiisha mpata jitange kumpa raha, mshughulikie mpaka aridhike, piga ufundi wa nguvu bila kinyaa, ukifanya mara kadhaa utaanza kuona raha ya tendo mbali na kumwaga tu. Wakati wowote kumbuka kwamba, utumiapo mikono yako, 0712, mbele au hata mdomoni kwa mtu raha ya mshindo wako ni ile ile. Ni pale utakapo enda beyond mshindo ndipo utapata raha ya ziada ya shughuli. Kumbuka wakati wote atoaye ndiye apokeaye - Wasaalamu
Kweli Mkuu !! are you seriousii? Kama wahitaji Raha na hreal happiness jikitee katika kazi za Mungu !! KM Toa misaada, saidi, Wazee, Fundisha mema na ukatze maovu !! volunteer katika huduma za kijamii!! UTAPATA RAHA NA STAREHE 4ever !!Wanajamvi
Nimekuwa nikitafuta kupata starehe ya kweli japo siku moja. Moyo wangu unahisi kuna raha ipo nzuri.
Nimefanya sex mara kibao na wanawake wa kila namna. Lakini sijapata real starehe, katika sex ni just friction ambayo hainipi starehe na baada ya mda uterezi unatokea na kutoa maji mazito kidogo basi.
Nimejaribu kunywa pombe, kuvuta sigara ndefu na fupi laki wapi hakuna raha yoyote.
Wana JF je kuna raha ya ukweli? Au labda nina matatizo?
Tena videmu vikijipitisha kwangu vimevaa nguo fupi huwa na shangaa kweli. Hivi kweli vinadhani vinaweza nipa starehe!!!?
Kama kuna mtu kama mimi ajitokeze tuunde society yetu.
Sijapata raha zaidi ya kusisimka mwili.
Kweli Mkuu !! are you seriousii? Kama wahitaji Raha na hreal happiness jikitee katika kazi za Mungu !! KM Toa misaada, saidi, Wazee, Fundisha mema na ukatze maovu !! volunteer katika huduma za kijamii!! UTAPATA RAHA NA STAREHE 4ever !!
karibu kwetu....free accomodation,Meals,transpotshen.