nataka nimsaliti lakini naogopa

Evz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
674
Reaction score
130
shkamooni wakubwa wadogo marahabaaa.. Leo nimepata wazo la kuuburudisha moyo wangu japo nawaza sana ila moyo wangu unaniambia nicogope ingawa mwili una6. Mwenzangu naeishi nae ananizd ujanja kwa usaliti. Ila nataka nilipize kisasi japo mara moja ili moyo wangu u2lie. Nipo hapa mnambie je? Nijipe moyo au!?.
 

Jipe moyo,songa mbele dada uburudishe nafsi yako. Na kama hujapata wa huyo unaetaka utoke nae nistue..
 
nimeapa kumliza na yeye
 
Una lako jambo hamna cha kukuzidi ujanja wala nini kubali unataka kubadilisha mazingira
 
[QUOTE=Leonard Robert; inakuhusu nini? Mshenz mkubw
 

Go ahead mumy raha jipe mwenyewee...kwani yeye aweze ana nini hata wewe ushindwe una niniiii...
 
Kama tatizo ni moyo wako kutotulia, ung'oe au!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…