Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
Habari wakuu
Kuna binti alikuja home miezi kadhaa nyuma baada ya kumaliza O level kwa ajili ya maandalizi ya Advance kwani alifaulu
Sasa baada ya kuzoeana alianza kuonesha interest tofaut tofaut za kimapenzi kwangu ila mimi kiukweli nlimuignore na sikufanya nae chochote zaidi ya kissing tu usiku mmoja aliponivamia gheto kwangu bila kutarajia
Sasa ijumaa iliyopita nlikua natoka center mida ya saa tano usiku nlipokaribia karibu na hom nkaona anaongozana na jamaa hadi kwenye chumba tulichompatia kwa ajili ya kukaa maana kinajitegemea
So nlichofanya nlienda hadi dirishani kwake nikagonga nkamuita ili kuwaaribia mood then nkaondoka then baada ya dk kadhaa akantxt eti"Kuna mgeni" nkamjibu Nimeona kila kitu na naomba umuondoe haraka sana.
Baada ya mda nkarudi kuhakikisha nkawaona wanaagana na akantxt kwamba eti mara yake ya kwanza kumleta na hii nimesababisha mimi maana namuignore.
So wadau mpaka leo sijamwambia mwanafamilia yeyote kuhusu hili swala ila nataka nimwambie huyu binti kuwa siku atapoondoka kwenda shule asiwahi kurudi tena hapa nimeshajaribu kumtxt aje nimwambie physical ila ananikwepa sana
Je ntakua sawa nikimpiga biti asikanyage tena hapa hom?