Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

Sawa mkuu ila usisahau pia na uswazi kabla hujafika maeneo mengi, jangwani, Buguruni/Vingunguti, Kisiwani, Tandale, Baadhi ya Kinondoni etc.

Idea Yangu mimi ambayo Niliona Kenya ni Kufunga system za Wifi kusuply mitaa badala ya Fiber, unakuta wifi za 1mbps tu na bei ndogo 10,000 ama 15,000 watu wanaangalia youtube 480p maisha Yanaenda.
Hii kitu nami nimeikuta mombasa karibia nyumba zote hata wanaoonekana na uwezo mdogo wanatumia wifi
 
Karibuni sana niwahudumie .. nipo zuku fiber pia muhimu uwe kariakoo,city center,msasani,mikocheni,masaki,oysterbay,upanga.na kinondoni ada estate... katibu sana kama una swali njoo pm..

mkuu ulotoa post karibu nkuhudumie hutajutia is the best
Msogee hata Ilala, Manzese & Mabibo sasa. Mnaacha hela nyingi huko.
 
Internet haipimwi kwa Bytes per Second mkuu (mBps)

Internet speed always tunapima Kwa Bits per Second (mbps).
Haya mambo kama hujaenda shule huwezi kuyaelewa. Mtu wa kawaida hawezi kuelewa tofauti ya bit na byte.

Na bahati mbaya siku hizi watu wanajua computing kwa kupitia simu badala ya kwenda computer course wakaijulie kupitia desktops.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom