Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,179
- 3,104
Mpaka tumekutana kwenye thread hii natumai wengi wetu ni wazima na wale wenye udhaifu kiasi basi Mungu atufanyie wepesi .
Kabla ya yote ningependa kutoa maelezo binafsi ili kupunguza maswali huko mbele
Mimi ni mwalimu wa sekondara mkoan Lindi na nimekua mwalimu wa nidhamu na malezi tangu nlipoanza kazi, hivyo nmekua na ukaribu kwakiasi Fulani na wanafunzi pamoja na wazazi wao .
Tokea niwe mwalimu mlezi, nmekua nikikutana na changamoto mbali mbali za wanafunzi na mazingira yao, kiukweli kuna baadhi ya changamoto sikuwah kufikiria Kama kweli zipo japo huku inaonekana ni kawaida .
Sasa kutokana na hizo changamoto nmejikuta natamani kujua zaidi na zaidi na hapo badae nipate njia bora ya kuwasaidia
Najua nguvu yangu ni ndogo hivyo nmewaza kufanya tafiti ili niiweke kwenye maandishi na wakipatikana watakao weza kuitumia na waitumie ,kwa kuwa nataka nakala moja niipeleke halmashauri kwa matumizi ya wilaya na nyingine nibaki nayo Mimi kwajili ya matumizi yangu binafsi na kitaaluma zaidi
Na utafiti wangu nataka ujikite kujua sababu inayowafanya
1:wafanye vibaya hasa wakifika kidato cha pili
2:wapate mimba
3:wawe na msukumo mdogo wa kusoma na hii hasa kwa watoto wa kike kwa kuwa watoto wakike wanapoanza kidato cha kwanza huwa wapo vizuri Sana, lakini punde wafikapo kidato cha pili wanaanza kufanya vibaya na wengine kuacha shule na hatimaye wengine hupata ujauzito
Nataka tafiti yangu iwe bora na iweze kutumiwa na mtu yeyote ndani na nje ya nchi
SASA CHANGAMOTO ZANGU NI HIZI
1:nianzie wapi
2:je kuna ulazima wa kuwa na supervisor? Na Kama ni lazima ntampataje huku wilayani
4:je kuna haja yakuandaa research proposal? Au naweza anza tu maana chapter one ina cover hiyo
4:literature riview naweza tumia vitabu vya mtandaoni na ikawa sawa tu
5😛ia naombeni msaada wa namna ya kudesin research title nzuri