Ww una maisha matamu sana,ila endelea kupambana utatoka tu
Nikuambia mm nilipopitia utaona huruma,nikiwa na 16yrs nilishapoteza wazazi wangu wote wawili hapo nipo form 3 and my brother he was 17yrs and my sister she was 10 yrs old
Wakat huo tulikuwa tunaishi kwenye nyumba za kupanga mburahati Dar na kijijin kwetu mshua hajajenga kuna nyumba ya udongo ya room mbili na ilikuwa inavuja hatari,mvua ikinyesha inabidi uamke tu usimamishe godoro ili kesho ulale mchana,
Just imagine na hiyo ni moshi mzee mwaka mzima ni mvua za kufa mtu no time to sleep
Just imagine life lilikuwJe ?