my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Ubihave kama mimi ninavyo anza kubihaveIli uwe msomi unahitaji ku-behave vipi?
msomi gani kabudi au?Mwezi huu wa tisa naanza chuo rasmi mwaka wa kwanza, naenda kusoma radiology. Sasa naanza ku behave kisomi you know na acha mambo ya kijinga nakuwa msomi. Nitakuwa nawaandikia mawili matatu kule JF doctor. Kwasabau nataka ni behave kisomi Nitakuwa siingii sana huku mmu nitakuwa nasaidia watu wenye matatizo kule kwa forum yetu doctors [emoji23] nabadilisha forum kwaherini mmu. Nawapenda sana [emoji178]
Doctor mtarajiwa DR MY NAME IS MY NAME
chuo cha wapi?Mwezi huu wa tisa naanza chuo rasmi mwaka wa kwanza, naenda kusoma radiology. Sasa naanza ku behave kisomi you know na acha mambo ya kijinga nakuwa msomi. Nitakuwa nawaandikia mawili matatu kule JF doctor. Kwasabau nataka ni behave kisomi Nitakuwa siingii sana huku mmu nitakuwa nasaidia watu wenye matatizo kule kwa forum yetu doctors [emoji23] nabadilisha forum kwaherini mmu. Nawapenda sana [emoji178]
Doctor mtarajiwa DR MY NAME IS MY NAME
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ubihave kama mimi ninavyo anza kubihave
Hawa ni wa somi au wachomoa betri😂😂😂msomi gani kabudi au?
Anataka awe kama Prof KabudiIli uwe msomi unahitaji ku-behave vipi?
Lipumbamsomi gani kabudi au?
Madokta ndo mnarundika maneno hivo hamweki paragraph?Mwezi huu wa tisa naanza chuo rasmi mwaka wa kwanza, naenda kusoma radiology. Sasa naanza ku behave kisomi you know na acha mambo ya kijinga nakuwa msomi. Nitakuwa nawaandikia mawili matatu kule JF doctor. Kwasabau nataka ni behave kisomi Nitakuwa siingii sana huku mmu nitakuwa nasaidia watu wenye matatizo kule kwa forum yetu doctors [emoji23] nabadilisha forum kwaherini mmu. Nawapenda sana [emoji178]
Doctor mtarajiwa DR MY NAME IS MY NAME