Nataka nianze kubeti, vp inalipa?

Nakushauli kua betting inalipa sana tuu ila uhakika wakushinda kila siku hakikisha unapewa matokeo najinn vinginevo utajuta san...ukiamua kuingia vitan beba vifaa vyote vyakukufanya umshinde adui..kwavyovyote vile..
 
Hapo kwenye kulipa sana siyo kweli labda unafaidika na hiyo kampeni yako. Acha kuingiza watu kwenye uraibu wa hatari beting haina faida zaidi ya kumfanya mtu arudi kwenye sifuri.
 
Mbona watu wanashinda pesa?

Binafsi nikisha pata pesa mala tatu kwa hela ndogo
150000 na vishilingi kidogo
80000 na kidogo
98000

Hizi ni pesa nikisha zipiga kwa mtaji wa buku buku
 
Back
Top Bottom