jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,214
- 42,958
Mikosi gani..acha illusion zako..wachina ambao ndio wafugaji na walaji wa kuu wa kitimoto duniani una wazidi nini wewe mmatumbi.biashara ina mikosi iyo achana nayo utapoteza mtaji wako
#MaendeleoHayanaChama