Nataka nianze biashara ya kuuza Ugali na Kitimoto Rost

Nataka nianze biashara ya kuuza Ugali na Kitimoto Rost

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
7,527
Reaction score
21,151
Wakuu, kuna sehemu imechangamka sana.
Pilikapilika za watu ni karibia 24 hours.

Eneo hili kuna vilabu vya pombe vingi sana.

Kwa ufupi hapa ni uswahilini.

Sasa nataka niwawekee kitimoto rost na ugali.

Changamoto ninayoiona hata kabla sijaingia kwenye hii biashara ni watu wa eneo hili.

Asilimia kubwa ni watu wenye asili ya kutoka Pemba, na wote tunajua watu wenye asili ya kutoka huko imani yao ni ipi.

Kuna yeyote ana uzoefu na maeneo kama hayo kwa biashara hiyo?
 
Kinachonitia moyo ni hivi vilabu vya pombe.
Ila nikikumbuka wenyeji wengi wa hapa ni watu wa kutoka Pemba.
Najikutaka nasita kidogo.
Kama kuna mwenye uzoefu na maeneo kama haya anisaidie uzoefu kidogo.
 
Kinachonitia moyo ni hivi vilabu vya pombe.
Ila nikikumbuka wenyeji wengi wa hapa ni watu wa kutoka pemba.
Najikutaka nasita kidogo.
Kama kuna mwenye uzoefu na maeneo kama haya anisaidie uzoefu kidogo.
Naomba unifahamishe hilo eneo liko wapi?
 
Sticky-BBQ-ribs-1.jpg
 
Wakuu, kuna sehemu imechangamka sana.
Pilikapilika za watu ni karibia 24 hours.

Eneo hili kuna vilabu vya pombe vingi sana.

Kwa ufupi hapa ni uswahilini.

Sasa nataka niwawekee kitimoto rost na ugali.

Changamoto ninayoiona hata kabla sijaingia kwenye hii biashara ni watu wa eneo hili.

Asilimia kubwa ni watu wenye asili ya kutoka Pemba, na wote tunajua watu wenye asili ya kutoka huko imani yao ni ipi.

Kuna yeyote ana uzoefu na maeneo kama hayo kwa biashara hiyo?
hao wanakula wala usijali muda wote wanapenda kula kula
 
Toa location tu, wanaJF ni watu wenye mipesa sana. Hapa mwenye elimu ya chini ana degree, wote tuna majengo sio nyumba. na wote tuna magari sio vyombo vya moto kama majiko ya gahawa.
 
Asikwambie mtu hao ndo walaji wazuri wa kitimoto wafanya biashara wengi hua wanasema kipindi cha Mfungo biashara inakua mbaya kwahyo anza na hao hao
Tunangoja majibu
 
Fanya biashara acha uoga..hao ndio wateja wazuri trust me utapiga hela sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Utafiti ni kwamba maeneo ya pwani ya Tz ndio kitimoto inaliwa kuliko mikoa mingine... Zanzibar kilasiku kitimoto inapakizwa ktk boat za Azam kule kilomoja ni 15,000 ila inagombaniwa.. kwahio anza hiyo biashara haraka sana wanahitaj kuliko unavyo fikiria
 
Kinachonitia moyo ni hivi vilabu vya pombe.
Ila nikikumbuka wenyeji wengi wa hapa ni watu wa kutoka pemba.
Najikutaka nasita kidogo.
Kama kuna mwenye uzoefu na maeneo kama haya anisaidie uzoefu kidogo.
Sasa kama ingekuwa hao watu wa kutoka Pemba ni tatizo kungekuwa na biashara ya pombe katika hivyo vilabu?

Hao wateja wa pombe ndio watakuwa wateja wa kitimox
 
Mkuu Kuna ule ugali wa jero jero wauzie huo utapiga Pesa ukimbie...
 
Back
Top Bottom