😁😁😁Mdogo wangu sikukatishi tamaa ila hao ni wanawake sita tofaut
All the best
Kijana anaota usiku haujaingia😁
Kumbe tena anafuta na mme? Uwii😳Ndoto Yako ya kuolewa na kiranga imeishia wapi?
Amen kila la kheri kwake
Mwanamke wa vigezo hivyo nakushauri ni bora uchonge mgomba uweke ndani.Natafuta mwanamke mwenye umbile la asili sio surgery awe na tako kubwa asiwe amejichubua awe mzuri wa sura na tabia njema
Asiwe mzanaki, asiwe mvivu wa kufanya kazi
Ajue kulea watoto
Awe na matumizi ya pesa mazuri
Awe tayari kuishi popote hata kijijini
Ajue kupika chakula
Ajue romansi
Asiwe mtu wa sherehe
Mawasiliano
0713752076
cocastic, fursa hii! Umewekewa kabisa na namba. Sasa kama hujui romansi, hujui kupika chakula, kama huwezi kuishi popote, hujui kulea watoto, una matumizi mabaya ya pesa, umejichubua, huna tako kubwa, mvivu wa kufanya kazi, huna uzuri wa sura na tabia, na unapenda sana sherehe; basi utakuwa umepishana na gari la mshahara.Natafuta mwanamke mwenye umbile la asili sio surgery awe na tako kubwa asiwe amejichubua awe mzuri wa sura na tabia njema
Asiwe mzanaki, asiwe mvivu wa kufanya kazi
Ajue kulea watoto
Awe na matumizi ya pesa mazuri
Awe tayari kuishi popote hata kijijini
Ajue kupika chakula
Ajue romansi
Asiwe mtu wa sherehe
Mawasiliano
0713752076