lukas charles
Member
- Jan 5, 2017
- 82
- 47
Nina mpenzi wangu yapata miezi tano hatujawahi kukosana lakini ananichanganya natamani nimuache sababu nahisi sio mwaminifu kwangu maana ananipigia simu au sms akiwa nashida ya pesa tu kingine nikiangalia simu yake haina sms wala incoming calls hata moja
Hata kama tumemaliza kuchat au kuongea tukitembea pamoja ananichagulia njia za kupita sasa chocho ambako hakuna watu kusema ukweli ananiudhi
Hata kama tumemaliza kuchat au kuongea tukitembea pamoja ananichagulia njia za kupita sasa chocho ambako hakuna watu kusema ukweli ananiudhi