Nataka mchumba ila sijatahiriwa

Nataka mchumba ila sijatahiriwa

Kuna sehemu ipo hukohuko Simiyu panaitwa NKOLOLO nenda huko utapata wanaopenda wanaume ambao hawajatahiwa kama wewe!!
 
Dondosha mkono sweeta....Toraha kwa wanaume ni bure.
 
Ni rahisi kuambukiza/zwa magonjwa yanayotokana na zinaa ukiwa hujatahiriwa. Dogo kakatw hilo dude unless sema km umelata thread kufurahisha umma

Kwa hiyo waliotahiriwa ruksa kuzama bila condom? Kuna njia nyingi za kuepuka magonjwa ya zinaa lakini siyo kutahiri, I really wish ningerejesha govi langu, kwa umri wako Rwigyema kama ningekuwa mimi ndiyo wewe nisingethubutu hata kuwaza kukata, ni unyanyasaji wa kijinsia na kupunguza raha ya mapenzi, sijuwi nani alianzisha mambo ya kutahiri, mashine inakaa inaumizwa na vyupi tu, nimejaribu boksa na zenyewe naona zinanizingua tu kila saa mashine ikigusa nguo inanyanyuka, ni maumivu tu aaaaaargh! Tohara kwa mwanaume ni mbaya kuliko tohara kwa wanawake, nikijiangalia hili kovu nachukia sana, mwanangu sina mpango wa kumtahili wacha akue achague mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Mzee gobole/govi la nini?itengeneze kwanza mashine.unatunza uchafu.
 
Inawezekana wapo wanaopenda ladha ya mkono wa sweta
 
Hongera mkuu...huna haja ya condom wewe!! ...unafunga na rubber band kwenye lisweta lako halafu unajilia vyako
 
Mmii ni kijana,nipo Simiyu nahitaji mchumba msichana wa umri wa miaka 22-28,aliye tayari ani pm.
Na kwanini hujatahiriwa mkuu! Ujue cku hizi ni fasta tu.. We unacomplicate mambo sana. Ucnikumbushe mambo ya pornstars wewe; hahaha
 
Nielekeze ulipo nije nkusindikize kwa daktari afu mengine yafuate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom