Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Km anakaa siku 2 inatosha
BTW...Mzima BAGAH
1. Nafuta hotel ya mjini ya stone town.
2. Shoping ndogo ndogo labda ununue halua, tende, ubuyu na spices lkn vitu vingine vingi bei ghali kwa hio hela uloitaja haitoshi.
Sure thing. . .
Tafuta hoteli ambayo sio ghali sana (up to 70,000 a night) inayobaki ya usafiri (80,000), chakula, mizunguko kidogo na hako kashopping.
Kwani town taxi town trip ni bei gani? Hakuna lodge/hotel za bei nafuu kama tsh 30,000/day? Na bei ya vyakula minimum ni bei gani katika hotel za kawaida zisizo za kitalii.
watu mna hela ya kuchezea. Mimi natumia elfu10 hadi elfu15 kulala but yote hayo inategemea uwezo wako. Mi nikiwa nahiyo hela nitakesha bar nakunywa bia hadi asubuhi 50 elfu itakua haijaisha. maisha yalivyo magumu unampa mhindi 70000 akupe chumba cha kulala? mimi simpi. mwisho kabisa 20000/-
We ushasema starehe yako pombe. . . wengine hiyo hatutumii kwahiyo tunafurahisha nafsi zetu kwa namna tofauti.watu mna hela ya kuchezea. Mimi natumia elfu10 hadi elfu15 kulala but yote hayo inategemea uwezo wako. Mi nikiwa nahiyo hela nitakesha bar nakunywa bia hadi asubuhi 50 elfu itakua haijaisha. maisha yalivyo magumu unampa mhindi 70000 akupe chumba cha kulala? mimi simpi. mwisho kabisa 20000/-
Vipaumbele vinatofautiana dubu.. Hata vipato navyo.. Na hobby nazo...
Wakati we unakunywa bia,mwingine pesa kama hiyo anatafuta demu,mwingine ananunulia bati au saruji,mwingine cheni ya dhahabu,mwingine Perfume,mwingine nywele..
ww ni mnokoNi kweli. Hobbies zinatofautiana. Nakumbuka kipindi nikiwa Udsm nilikuwa kila nikipata boom nanunua atleast kitabu kimoja. Jamaa zangu walikuwa wakiniona mtu wa ajabu kidogo. Hata siku hizi, ofisin wananishangaa pindi ninapotumia karibu tsh 3000 kila siku kununua magazeti.