Nataka kwenda marekani naitaji kujua utaratibu wa upatikanaji visa

dunia yangu

New Member
Jan 29, 2015
4
1
Kila mtu mungu kampangia pakutoboa katika aya Maisha, naitaji kwenda marekani ningependa kujua taratibu za kufata na upatikanaji wa visa pamoja na garama za nauli mpaka kufika uko
Wajuzi wa mambo msaada wenu tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…