Nataka kwenda Kusoma Uganda Information technology

Nataka kwenda Kusoma Uganda Information technology

Kassina

Senior Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
133
Reaction score
133
Nimeangalia vyuo vya south Africa ni too expensive nataka Kuomba makerere university Uganda, Bachelor of Information and security system nimecheki mengi kwenye website yao ya chuo ila nahitaji Kusikia kutoka kwenu wadau Ambao kwa namna moja ama nyingine mmepita apo, mpo Au mnafahamu machche Kuhusu makerere, Nina Diploma ya engineering kwa sasa
 
Makerere, ni chuo kikongwe, na kizuri, Fanya mchakato uende mkuu
 
Bongo hapa wako vzr nenda chuo cha unique academy.pia rwanda ipo vzr sana kuliko uganda
 
Bongo hapa wako vzr nenda chuo cha unique academy.pia rwanda ipo vzr sana kuliko uganda
Rwanda mkuu Vipi Chuo gani nicheki?
Nata chuo ambacho medium of communication iwe English
 
Back
Top Bottom