Mbona kazi rahisi saana kufuta TATOO...Chukua Pasi tu weka ktk Umeme iache ichemke kama dakika 5
Kisha pakaa Maji kwenye hio tatoo half ibandike pale pasi ktk hio TATOO kwa sekunde7 half toa
Half iache tena pasi ipate moto ufanye hivo hivo kwa wiki Mara 3 tu Mkuu