Walawi washakufa.... Kila MTU apambane na hali yakeNilikuwa nataka sana kuchora tattoo ila kuna siku kama zali tu nikafunua kitabu cha Mambo Ya Walawi katika Biblia Takatifu, niliishiwa nguvu kwa maneno yale.
Nilishasahau mstari wa ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nadhani Nuhu Mziwanda na Shilole wanakufaa kwa ushauri.
Kila la heri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app