Nataka kwenda Gambosh

Mimi simaanishi Wilaya ya Bariadi..Nimesema nataka kwenda Gamboshi mji usioonekana kwa macho ya kawaida(mji wa wachawi)
 
Ajipange, safari ya gambosh ni sawa na safari ya kwenda kutalii mwezini
Kwani ukienda mwezini haurudi..
Na mambo ya kujipanga mimi niko tayari..na nilisema viapo vya kichawi niko tayari,kulazwa makaburini niko tayari,kuzikwa mzima mzima niko tayari chochote mimi niko tayari..Mimi nataka kwenda kutalii tu
 
Ukienda huko huruhusiwi kurudi wanakunywa damu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…