Una kifua cha kukabili mambo? Nitumie namba yako nimpe bibi afanye yake! Ila wakikung'ang'ania huko tusijuane!Wakuu Habari Zenu
Nimesikia eti huko Gambosh kuna kila kitu kama hapa duniani.Mimi nataka kwenda mara moja tu kwenda kujionea kwa macho yangu na kurudi hapa duniani..
Kuna njia yeyote ya kwenda huko au ni mambo ya kukata ticket kama za ndege..
Ndio kwao nini?..Mtafute Evelyn Salt kwa maelezo zaidi
Anafanya kazi hukoNdio kwao nini?..