Nataka kwenda chuo sio advnce

Nataka kwenda chuo sio advnce

Joined
Feb 1, 2019
Posts
14
Reaction score
2
Habari ndugu zng,nmehitimu kidato cha nne nmepata div 1:15 nachukua masomo ya biashara, na kombi zote zmebalance lkn staki kwenda advnc nataka niende chuo,naomben ushaur wenu course ya kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa ufaulu mzuri. Ingia NACTE, tafuta Admission Guides za 2018/19, halafu click ile yenye mambo ya biashara na kadhalika utaona list ya vyuo vyote na program wanazotoa kama ni certificate au Diploma. Unaweza pia ukacheck UDOM kwenye website yao maana wenyewe sijawaona kule NACTE.
Wengi wanatoa Basic Technician Certificate ya mwaka mmoja na ukimaliza hiyo unasoma Diploma kwa miaka miwili. Ni vyuo vichache sana wana admit form 4 Diploma moja kwa moja (ukiacha vyile vya Technical Colleges-DIT, MUST, ATC, MAJI).

Back
Top Bottom