Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,042
- 25,519
Buriani uharibifu wa eneo pendwaWasalaam wakuu.
Leo naomba niwe muwazi kabisa:
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai huwa na tabia chafu sana ya ukeketaji ambayo kwa mda mrefu nimekuwa naichukia lakini sikuwa na cha kufanya..
Mimi kama mwana jamii hiyo ninasoma kwa bidii ili Nije nishughulikie hiyo tabia kwani ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Lakini hadi sasa sijui pa kuanzia.. Ninasoma vitabu vingi vinavyohusiana na FGM lakini bado sijapata pa kuanzia...
Tafadhali naombeni ushauri ukiachana na kutoa elimu kwa jamii na kuwaripoti wanaofanya vitendo hivyo ni mbinu gani nyingie naweza kuitumia ... Mawazo yako ni ya muhimu sana ili nipate pa kuanzia. Pia kama una vitabu vinavyohusiana na FGM please naomba unitumie nivisome. Tuma kupitia e-mail hii: Loanyunitarakwa13@gmail.com.
NINA NIA YA KUIZIKA kabisa F.G.M katika jamii yangu kuanzia sasa utakaponipa wazo lako..
KWA PAMOJA TUSEME F.G.M BURIANI..
Karibuni kwa maoni
Mkuu unamaanisha unaunga mkono FGM?!Kwani FGM Ina tatizo gani?
Wanaofanyiwa wanasemaje?
Wanaotarajiwa kufanyiwa wanasemaje?
Ukipata majibu utapata pa kuanzia
I did some research on this issue but I didn't find anything miserable!
Ahsante Sana...Kujenga hostel ya kuwatunza mabinti wanaokumbia gmt
Mkuu unamaanisha unaunga mkono FGM?!
Hawali vibuduHivi ni kwanini Masai hamli samaki?!
ThanksHayo ni maswali ukipata majibu yake utajua pa kuanzia
Lqa kifupi wa Maasai wa zamani ndio walikuwa hawali...turudi kwenye mada yetu..mchango wako pleaseHivi ni kwanini Masai hamli samaki?!
Wasalaam wakuu.
Leo naomba niwe muwazi kabisa:
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai huwa na tabia chafu sana ya ukeketaji ambayo kwa mda mrefu nimekuwa naichukia lakini sikuwa na cha kufanya..
Mimi kama mwana jamii hiyo ninasoma kwa bidii ili Nije nishughulikie hiyo tabia kwani ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Lakini hadi sasa sijui pa kuanzia.. Ninasoma vitabu vingi vinavyohusiana na FGM lakini bado sijapata pa kuanzia...
Tafadhali naombeni ushauri ukiachana na kutoa elimu kwa jamii na kuwaripoti wanaofanya vitendo hivyo ni mbinu gani nyingie naweza kuitumia ... Mawazo yako ni ya muhimu sana ili nipate pa kuanzia. Pia kama una vitabu vinavyohusiana na FGM please naomba unitumie nivisome. Tuma kupitia e-mail hii: Loanyunitarakwa13@gmail.com.
NINA NIA YA KUIZIKA kabisa F.G.M katika jamii yangu kuanzia sasa utakaponipa wazo lako..
KWA PAMOJA TUSEME F.G.M BURIANI..
Karibuni kwa maoni
Kwanzaa ww ni ke au meUnasoma hapa TICD, hiyo TICD ni wapi kaka? Afu why unasoma kwa bidii uje uzike ukeketaji,unafikiri utakapomaliza ndo utaweza kukomesha hiyo mila?unafikiri ni kitu gani unakosa sasa hv kama tool kupambana na fgm? Na unafikiri hiyo tool ukisoma kwa bidii utaipata?
Nataman nkukekete mkuuKwani FGM Ina tatizo gani?
Wanaofanyiwa wanasemaje?
Wanaotarajiwa kufanyiwa wanasemaje?
Ukipata majibu utapata pa kuanzia
I did some research on this issue but I didn't find anything miserable!
Watafute tamwa na TGNP watakusaidiaWasalaam wakuu.
Leo naomba niwe muwazi kabisa:
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai huwa na tabia chafu sana ya ukeketaji ambayo kwa mda mrefu nimekuwa naichukia lakini sikuwa na cha kufanya..
Mimi kama mwana jamii hiyo ninasoma kwa bidii ili Nije nishughulikie hiyo tabia kwani ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Lakini hadi sasa sijui pa kuanzia.. Ninasoma vitabu vingi vinavyohusiana na FGM lakini bado sijapata pa kuanzia...
Tafadhali naombeni ushauri ukiachana na kutoa elimu kwa jamii na kuwaripoti wanaofanya vitendo hivyo ni mbinu gani nyingie naweza kuitumia ... Mawazo yako ni ya muhimu sana ili nipate pa kuanzia. Pia kama una vitabu vinavyohusiana na FGM please naomba unitumie nivisome. Tuma kupitia e-mail hii: Loanyunitarakwa13@gmail.com.
NINA NIA YA KUIZIKA kabisa F.G.M katika jamii yangu kuanzia sasa utakaponipa wazo lako..
KWA PAMOJA TUSEME F.G.M BURIANI..
Karibuni kwa maoni
Kuna binti wa kimasai nilitumia kila mbinu kumpata alinitosa mbaya, je inawezekana alikuwa akificha aibu hito ya fgm.Wasalaam wakuu.
Leo naomba niwe muwazi kabisa:
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai huwa na tabia chafu sana ya ukeketaji ambayo kwa mda mrefu nimekuwa naichukia lakini sikuwa na cha kufanya..
Mimi kama mwana jamii hiyo ninasoma kwa bidii ili Nije nishughulikie hiyo tabia kwani ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Lakini hadi sasa sijui pa kuanzia.. Ninasoma vitabu vingi vinavyohusiana na FGM lakini bado sijapata pa kuanzia...
Tafadhali naombeni ushauri ukiachana na kutoa elimu kwa jamii na kuwaripoti wanaofanya vitendo hivyo ni mbinu gani nyingie naweza kuitumia ... Mawazo yako ni ya muhimu sana ili nipate pa kuanzia. Pia kama una vitabu vinavyohusiana na FGM please naomba unitumie nivisome. Tuma kupitia e-mail hii: Loanyunitarakwa13@gmail.com.
NINA NIA YA KUIZIKA kabisa F.G.M katika jamii yangu kuanzia sasa utakaponipa wazo lako..
KWA PAMOJA TUSEME F.G.M BURIANI..
Karibuni kwa maoni
Kuna mambo waafrika tinajisumbua kupambana nayo, ukeketaji, uchawi, maradhi nk Hayo hayakomeshwi na sheria bali ELİMMU.Watu wakielimika wanaacha wenyewe mambo hayo.Jaribu tuone labda urafanikiw jambo ambalo serikali imeshindwa.Jaribu kusambaza na dini zinaweza kusaidia.Wasalaam wakuu.
Leo naomba niwe muwazi kabisa:
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai huwa na tabia chafu sana ya ukeketaji ambayo kwa mda mrefu nimekuwa naichukia lakini sikuwa na cha kufanya..
Mimi kama mwana jamii hiyo ninasoma kwa bidii ili Nije nishughulikie hiyo tabia kwani ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Lakini hadi sasa sijui pa kuanzia.. Ninasoma vitabu vingi vinavyohusiana na FGM lakini bado sijapata pa kuanzia...
Tafadhali naombeni ushauri ukiachana na kutoa elimu kwa jamii na kuwaripoti wanaofanya vitendo hivyo ni mbinu gani nyingie naweza kuitumia ... Mawazo yako ni ya muhimu sana ili nipate pa kuanzia. Pia kama una vitabu vinavyohusiana na FGM please naomba unitumie nivisome. Tuma kupitia e-mail hii: Loanyunitarakwa13@gmail.com.
NINA NIA YA KUIZIKA kabisa F.G.M katika jamii yangu kuanzia sasa utakaponipa wazo lako..
KWA PAMOJA TUSEME F.G.M BURIANI..
Karibuni kwa maoni
Masai Sidai?Kore ile mepuko!! Aise ni nzuri sana hii.Hapo uliponzia panatosha.Hakikisha na watoto wako wa kike nao hawakeketwi.Wasalaam wakuu.
Leo naomba niwe muwazi kabisa:
Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai huwa na tabia chafu sana ya ukeketaji ambayo kwa mda mrefu nimekuwa naichukia lakini sikuwa na cha kufanya..
Mimi kama mwana jamii hiyo ninasoma kwa bidii ili Nije nishughulikie hiyo tabia kwani ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Lakini hadi sasa sijui pa kuanzia.. Ninasoma vitabu vingi vinavyohusiana na FGM lakini bado sijapata pa kuanzia...
Tafadhali naombeni ushauri ukiachana na kutoa elimu kwa jamii na kuwaripoti wanaofanya vitendo hivyo ni mbinu gani nyingie naweza kuitumia ... Mawazo yako ni ya muhimu sana ili nipate pa kuanzia. Pia kama una vitabu vinavyohusiana na FGM please naomba unitumie nivisome. Tuma kupitia e-mail hii: Loanyunitarakwa13@gmail.com.
NINA NIA YA KUIZIKA kabisa F.G.M katika jamii yangu kuanzia sasa utakaponipa wazo lako..
KWA PAMOJA TUSEME F.G.M BURIANI..
Karibuni kwa maoni
Kwahiyo unaunga mkono FGMKwani FGM Ina tatizo gani?